Mwigulu Nchemba baada ya kutembelea eneo walilouawa askari 8

Wakati jioni ya April 13 2017 Wilayani Kibiti katika Mkoa wa Pwani, iliripotiwa kuwa watu wanaosadikika kuwa majambazi ambao haijafahamika idadi yao wakiwa na silaha walishambulia kwa risasi gari la polisi na kuwaua askari nane na kumjeruhi mmoja Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba  leo April 14 2017 ametembelea eneo hilo lilipofanyika tukio la mauwaji […] The post Mwigulu Nchemba baada ya kutembelea eneo walilouawa askari 8 appeared first on millardayo.com. Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com Like Like Love Haha Wow Sad Angry

Read More
News 

AJALI Mbaya Imetokea Maeneo ya Mbwewe na Manga Tanga

Kuna ajali ya Gari imetokea kati ya Mbwewe na Manga Tanga kuhusisha RAV 4 no T 455 CLA ya kugongana na lori. Taarifa za awali zinasema kuna waliofariki na kujeruhiwa.. Mungu awalaze mahali pema Marehemu na kuwapa uponaji majeruhi. Taarifa kamili itawajia baadae The post AJALI Mbaya Imetokea Maeneo ya Mbwewe na Manga Tanga appeared first on The Choice. Mwandishi: Chriss kutoka The Choice Like Like Love Haha Wow Sad Angry

Read More
News 

BAD NEWS: MTANZANIA AAMBUKIZWA UKIMWI KWA KUCHOMWA SINDANO YA SOKWE.

Mzee Selemani Mwaipopo alieathirika kwa kuchomwa sindano yenye virusi vya Ukimwi akiwa mfungwa huko Congo DRC.Picha na John Walter Selemani Mwaipopo ni mtanzania alieishi jela miaka 34 tangu alipokamatwa huko nchini Congo akiwa na umri wa miaka 26 akiwa kama mzamiaji baharini maarufu kama baharia wakati akifanya shuguli zake za kujitafutia riziki.Akiwa katika gereza huko Congo hakuweza kuwasiliana na mtu yeyote kutoka Tanzania hadi pale wanajeshi wa hapa nchini walipofika huko  mwaka jana katika kutuliza ghasia  nchini humo na kutaka kujua kama kuna watanzania wanaoshikiliwa katika Gereza nchini Humo ndipo…

Read More

VIDEO: Bei ya Vyakula msimu huu wa sikukuu soko la Buguruni DSM

Ayo TV na millardayo.com  imetembelea soko la Buguruni Jijini Dar es salaam na kujionea bei alisi ya Vyakula katika soko la Buguruni msimu wa sikuku , Leo April 13, 2017, Wafanyabiashara wamezitaja bei za  baadhi ya vyakula vinavyopatikana na kwenye soko hilo. Ulimiss Tamko la waziri Makamba kuhusu bonde la mto Ruaha itazame  hii video hapa […] The post VIDEO: Bei ya Vyakula msimu huu wa sikukuu soko la Buguruni DSM appeared first on millardayo.com. Mwandishi: Lonny TZA kutoka millardayo.com Like Like Love Haha Wow Sad Angry

Read More