You are here
News 

AJALI Mbaya Imetokea Maeneo ya Mbwewe na Manga Tanga

Kuna ajali ya Gari imetokea kati ya Mbwewe na Manga Tanga kuhusisha RAV 4 no T 455 CLA ya kugongana na lori. Taarifa za awali zinasema kuna waliofariki na kujeruhiwa.. Mungu awalaze mahali pema Marehemu na kuwapa uponaji majeruhi.

Taarifa kamili itawajia baadae

The post AJALI Mbaya Imetokea Maeneo ya Mbwewe na Manga Tanga appeared first on The Choice.

Mwandishi: Chriss kutoka The Choice

Related posts