You are here

Mwigulu Nchemba baada ya kutembelea eneo walilouawa askari 8

Wakati jioni ya April 13 2017 Wilayani Kibiti katika Mkoa wa Pwani, iliripotiwa kuwa watu wanaosadikika kuwa majambazi ambao haijafahamika idadi yao wakiwa na silaha walishambulia kwa risasi gari la polisi na kuwaua askari nane na kumjeruhi mmoja Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba  leo April 14 2017 ametembelea eneo hilo lilipofanyika tukio la mauwaji […]

The post Mwigulu Nchemba baada ya kutembelea eneo walilouawa askari 8 appeared first on millardayo.com.

Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Related posts