You are here

VIDEO: Bei ya Vyakula msimu huu wa sikukuu soko la Buguruni DSM

Ayo TV na millardayo.com  imetembelea soko la Buguruni Jijini Dar es salaam na kujionea bei alisi ya Vyakula katika soko la Buguruni msimu wa sikuku , Leo April 13, 2017, Wafanyabiashara wamezitaja bei za  baadhi ya vyakula vinavyopatikana na kwenye soko hilo. Ulimiss Tamko la waziri Makamba kuhusu bonde la mto Ruaha itazame  hii video hapa […]

The post VIDEO: Bei ya Vyakula msimu huu wa sikukuu soko la Buguruni DSM appeared first on millardayo.com.

Mwandishi: Lonny TZA kutoka millardayo.com

Related posts