You are here

Diamond na mastaa wengine walivyoguswa na msiba wa Dogo Mfaume…

Leo May 17, 2017 tasnia ya muziki Tanzania imejawa na huzuni baada ya kutangazwa taarifa za kifo cha Mwimbaji Dogo Mfaume aliyefariki akiwa Muhimbili Hospital ambako alitarajia kufanyiwa upasuaji wa kichwa. Kutokana na kusambaa kwa taarifa hizo za majonzi ambazo zimegusa hisia za watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa muziki, watu hao wameelezea masikitiko yao kupitia social media […]

The post Diamond na mastaa wengine walivyoguswa na msiba wa Dogo Mfaume… appeared first on millardayo.com.

Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Related posts