You are here

Staa mwingine aliyebadilishiwa ‘Play Button’ na YouTube

Moja ya stori ambazo zinakamata headlines katika mitandao mbalimbali Duniani kwa sasa ni good news iliyotangazwa na mtandao wa YouTube kwa staa wa muziki wa Marekani Chris Bown. YouTube wamebadili kitufe ‘PLAY BUTTON’ kwenye account ya staa wa muziki Chris Brown baada ya kufikisha zaidi ya wafuatiliaji ‘subscribers’ 10m ambapo sasa kitakuwa ‘Diamond Play Button’ na hatua […]

The post Staa mwingine aliyebadilishiwa ‘Play Button’ na YouTube appeared first on millardayo.com.

Mwandishi: Makoleko TZA kutoka millardayo.com

Related posts