You are here

U-HEARD: Maneno ya Emmanuel Mbasha kuhusu kutumia gari ya watu

May 16, 2017 kupitia U-HEARD ya XXL ya Clouds FM Mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha anadaiwa kuingia kwenye gari ya watu na kupiga picha kisha kupost kwenye mitandao ya kijamii bila ridhaa ya mwenye gari. Mtangazaji Soudy Brown alipiga story na Mbasha ili kujua ukweli na akajibuwa hivi “Sifahamu na sijui kitu kama hicho, gari gani? mbona […]

The post U-HEARD: Maneno ya Emmanuel Mbasha kuhusu kutumia gari ya watu appeared first on millardayo.com.

Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Related posts