You are here

Msanii mwingine wa Bongofleva aliyepata mtoto leo June 27, 2017

Habari njema nyingine iliyofikia kutoka kwenye industry ya Bongofleva ni pamoja na hii ya msanii wa kizazi kipya wenyewe wanamuita V.O.A Voice Of Africa, Linex Sunday Mjeda kupata mtoto leo June 27 2017. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Linex aliandika:>>>”Mungu wangu Wa Ibrahim Mungu Wa Jacob Mungu Wa Watu wote wamuaminie Amenipa Jina Jipya kutoka […]

Mwandishi: Asteria Mvungi TZA kutoka millardayo.com

Related posts