You are here

Ukweli wa Usajili wa Haruna Niyonzima, Aonekana Makao Makuu ya Klabu Hii

 Habari za Uhakika ambazo Msindiforums imezipata kuhusu  Usajili wa Haruna Niyonzima ni kwamba Haruna Niyonzima ameonekana katika Makao makuu ya Klabu ya Yanga, Kama Inavyoonekana katika Picha.Inadaiwa Niyonzima ameenda kwaajili ya Kukamilisha zoezi, Habari hii inaweza ikawa Nzuri kwa Upande wa Yanga na Mbaya kwa washabiki wa Simba ambao Taarifa za awali zilidai Fundi Huyo angesaini Simba.


Habari za Uhakika ambazo Msindiforums imezipata kuhusu  Usajili wa Haruna Niyonzima ni kwamba Haruna Niyonzima ameonekana katika Makao makuu ya Klabu ya Yanga, Kama Inavyoonekana katika Picha.

Inadaiwa Niyonzima ameenda kwaajili ya Kukamilisha zoezi, Habari hii inaweza ikawa Nzuri kwa Upande wa Yanga na Mbaya kwa washabiki wa Simba ambao Taarifa za awali zilidai Fundi Huyo angesaini Simba.

The post Ukweli wa Usajili wa Haruna Niyonzima, Aonekana Makao Makuu ya Klabu Hii appeared first on The Choice.

Mwandishi: Chriss kutoka The Choice

Related posts