You are here

Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee na wengine wachaguliwa kuwania tuzo za Afrima za Nigeria

Tuzo za Afrima zimetangaza majina ya kwanza ya wasanii watakaowania mwaka huu. Imeanza kwa kuyaweka wazi majina ya kanda mbalimbali. Wasanii waliotajwa kutoka Tanzania ni pamoja na Diamond, Vanessa Mdee, Alikiba, Nandy na Lady Jaydee watajwa kuwania tuzo za Afrima 2017.

20622083_1935811603327608_7938229668662423451_n 20663607_1935811599994275_7545551123819210718_n

Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Related posts