You are here

KESI YA MALINZI: Mahakama imeutaka upande wa Mashtaka kukamilisha haya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 11, 2017 imeutaka upande wa mashtaka kuhakikisha unakamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa TFF Jamal Malinzi na wenzake. Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ameyasema hayo baada ya Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga kudai upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika. Hata hivyo, Wakili wa utetezi, Nehemiah Nkoko alidai […]

Mwandishi: Makoleko TZA kutoka millardayo.com

Related posts