You are here

MAGOLI YOTE: Mbao FC vs Simba FC leo Sept. 21 Mwanza (2-2)

Ilikua ni game ambayo imesubiriwa sana na Watu wa Mwanza walijitokeza kwa wingi kutazama nani atatoka kifua mbele ambapo mpaka game inaisha ilikua ni 2-2 na magoli yote yako hapa chini kwenye hii video MAGOLI YOTE: Simba FC vs Mwadui FC September 17 2017 yatazame hapa chini kwenye hii video

Mwandishi: Millard Ayo kutoka millardayo.com

Related posts