You are here
Kitaifa 

TAARIFA: JPM hatakuwa mgeni rasmi katika kongamano la kumbukumbu ya Mwl. Nyerere

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais imesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli hatakuwa mgeni rasmi katika kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.

Pia taasisi zinazomwalika Rais Magufuli katika shughuli zao zimetakiwa kutotangaza ushiriki wa Rais katika shughuli zao mpaka zipate uthibitisho kutoka ofisi ya Rais.

Mwandishi: Rabi Hume kutoka DEWJIBLOG

Related posts