You are here

BREAKING: Lawrance Masha ajivua uwanachama CHADEMA, sababu zote kazitaja hapa

Mwaka 2015 Waziri wa zamani kwenye awamu ya nne Lawrance Masha alijiondoa CCM na kuhamia CHADEMA lakini leo ikiwa ni miaka miwili tangu ajiondoe CCM, ametangaza kujiondoa CHADEMA… baruda yake yote tumeshakusomea bonyeza play hapa chini kuona kila alichoandika

Mwandishi: Millard Ayo kutoka millardayo.com

Related posts