You are here

BREAKING: Shirika la kutetea haki za Binadamu lazuiwa kutoa Ripoti inayohusu Watanzania (+video)

Tume ya Taifa ya Sayansi (COSTECH) imelizuia Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kuzindua Ripoti ya Watumishi wa ndani wa Kitanzania wanavyonyanyaswa nchini Oman na Falme za Kiarabu. #MillardAyoUPDATES Shirika hilo limesema lilikutana na Wizara mbalimbali kabla ya kufikia siku ya leo kutaka kutangaza Ripoti hiyo lakini asubuhi ndio wameambiwa kwamba kuna […]

Mwandishi: Millard Ayo kutoka millardayo.com

Related posts