You are here

New Music: Diamond Platnumz – Niache (Official Music Audio)

Wakati mashabiki wakingoja albamu yake ya ‘A Boy From Tandale’ Nasib Abdul a.k.a Dimond Platnumz ameachia audio ya ngoma yake iitwayo ‘Niache’,hii ni ngoma ya pili kuachia kwa mara moja kwani ameachia ngoma ya ‘Sikomi’

Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Related posts