You are here

New Music: Miguel- Come Through and Chill (Audio) ft. J. Cole, Salaam Remi

Miguel na J cole wamekutana tean, sasa hivi ni kwenye ngoma mpya ya Miguel ‘Come through and chill’ ambayo pia amemshirikisha Salaam Remi.

Hii ngoma itakuwepo kwenye album mpya ya Miguel War & Leisure.

Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Related posts