You are here

Picha: Cristiano Ronaldo apata mtoto wa nne na mchumba wake Georgina Rodriguez

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ameongeza mtoto wa 4 katika familia yake. Wiki chache zilizopita alitangaza kuwa mtoto huyu ataitwa Alana Martina.

cristiano_13_11_2017_0_30_28_836-768x768

Hii ni picha ya Ronald na mchumba wake Georgina Rodriguez ambaye amejifungua salama mtoto wao wa kike.

 

Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Related posts