You are here

VIDEO: Ruge Mutahaba kuhusu Fiesta, Fursa na ndoa ya Zamaradi

Kuelekea kumalizika kwa tamasha la Fiesta, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amezungumza kuhusu tamasha hilo, semina za Fursa zilifanyika katika mikoa mbalimbali nchini na kuhusu mzazi mwenzake, Zamaradi Mketema ambaye aliolewa na mwanaume mwingine.

Mwandishi: Rabi Hume kutoka DEWJIBLOG

Related posts