You are here

WEMA SEPETU: “kama kummiss mtu ni kosa niko tayari kutafutwa”

Leo December  5,2017  muigizaji Wema Sepetu karudi tena kwenye headlines baada ya kupost picha ya aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Luis Munana ambaye walishawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mfupi na baadae kuachana.   Wema Sepetu alimaanisha kuwa” kama kummiss mtu ni kosa niko tayari kutafutwa ,nawatakia jumanne njema, hii ni moja kati […]

Mwandishi: Bynah TZA kutoka millardayo.com

Related posts