You are here

Waziri Jafo amsimamisha kazi Mkurugenzi (+Video)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoa wa Rukwa Julius Kaondo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za rushwa zinazomkabili. “Natangaza kumsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Julius Kaondo kuanzia leo ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma […] Mwandishi: Msombe TZA kutoka millardayo.com

Read More

EXCLUSIVE: Ni kweli Godbless Lema na Meya Boniface wamepigana?

Mchana wa December 7 2017 zilienea taarifa katika mitandao ya kijamii zikidaiwa kuwa Meya wa Ubungo kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Boniface Jacob na Mbunge wa Arusha Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Godbless Lema wamegombana na kupigana ngumi chanzo kikiwa hakijatajwa. AyoTV ilifanikiwa kuwatafuta Boniface Jacob na Godbless Lema na kufanya nao Exclusive interview na […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Kanisa la Gwajima labomolewa usikuusiku Ubungo DSM

Bado zoezi la Bomoa Bomoa linaendelea kuchukua headlines jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku chache tu zimepita toka tushuhudie zoezi la ubomoaji wa jengo la makao makuu ya Tanesco likiendelea, AyoTV imezinasa picha za kanisa la Askofu Gwajima likinbomolewa kupisha ujenzi wa barabara. EXCLUSIVE: Ni kweli Godbless Lema na Meya Boniface wamepigana? Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

WEMA SEPETU: “kama kummiss mtu ni kosa niko tayari kutafutwa”

Leo December  5,2017  muigizaji Wema Sepetu karudi tena kwenye headlines baada ya kupost picha ya aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Luis Munana ambaye walishawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mfupi na baadae kuachana.   Wema Sepetu alimaanisha kuwa” kama kummiss mtu ni kosa niko tayari kutafutwa ,nawatakia jumanne njema, hii ni moja kati […] Mwandishi: Bynah TZA kutoka millardayo.com

Read More

Atakavyopokelewa Rais Magufuli siku ya Uhuru Dodoma (+Video)

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Bilinith Mahenge ametoa Taarifa fupi kuhusu maandalizi yaliyofanyika kumpokea Rais John Pombe Magufuli siku ya Maadhimisho ya Sherehe za UHURU zitakazofanyika kitaifa Dodoma December 9 , 2017 katika uwanja vya Jamhuri. RC Mahenge amesema…>>>“Tangu Rais Magufuli atangaze kuhamishia makao ya nchi Dodoma zikiwemo Wizara, Serikali imekuwa ikielezeza shughuli nyingi […] Mwandishi: Msombe TZA kutoka millardayo.com

Read More

Polisi Dodoma kuhusu jamaa aliyetengeneza tukio la kuvamiwa(+Video)

November 4, 2017 Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto alikutana na Waandishi wa habari ofisini kwake kwa ajili ya kutoa taarifa ya matukio mbalimbali ya mkoa ambapo kati ya matukio hayo ni pamoja na namna Polisi walivyomkamata mtuhumiwa aliyejitengeneza tukio la kuvamiwa na kuporwa fedha za mwajiri wake. Full video nimekuwekea hapa chini […] Mwandishi: Msombe TZA kutoka millardayo.com

Read More

Inawezekana huyajui mambo haya 5 kuhusu Instagram

Mtandao wa Instagram ni moja kati ya mitandao ya kijamii inayopendwa na kutumiwa na watu wengi sana duniani. Ina watumiaji zaidi ya milioni 250 duniani kote na kumekuwa na mabadiliko mbalimbali ambayo yamefanyika kwenye mtandao huu tangu umeanzishwa. Vifuatavyo ni vitu 5 ambavyo yawezekana huvifahamu kuhusu mtandao huu wa Instagram Instagram ni nini? Ni mtandao […] Mwandishi: Janeth Mesomapya kutoka millardayo.com

Read More