You are here

Kauli ya Waziri Mwijage juu ya wanaohama vyama vyao (+video)

Kufuatia kinachoendelea Tanzania juu ya Wanasiasa wanaohama vyama vyao na kujiunga na vyama vingine, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ameongea kuhusu huo upepo unaovuma kwa sasa. Akiongea na AyoTV na millardayo.com Mwijage amesema kuwa aliingia kwenye siasa tangu mwaka 1973 na hajawahi kushuhudia hali kama hiyo hivyo inawezekana kazi kubwa inayowafanya Wapinzani kuhamia […] Mwandishi: Millard Ayo kutoka millardayo.com

Read More

AyoTV MAGAZETI: Siri 5 Babu Seya, Papi Kocha kuachiwa, Siri ya Polisi kubaki Kibiti

Karibu AyoTV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya ni kubonyeza ‘SUBSCRIBE‘ ili uwe unapata notification kila habari mpya inapowekwa… bonyeza hapa chini kusomewa Magazeti ya leo December 11, 2017 na Alice Tupa. MAGAZETI LIVE: Papii Kocha aangua kilio, JWTZ kutoa tamko Mwandishi: Alice Tupa TZA kutoka millardayo.com

Read More

AyoTV MAGAZETI: Papii Kocha aangua kilio, JWTZ kutoa tamko

Karibu AyoTV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya ni kubonyeza ‘SUBSCRIBE‘ ili uwe unapata notification kila habari mpya inapowekwa… bonyeza hapa chini kusomewa Magazeti ya leo December 10, 2017 na Alice Tupa. MAGAZETI LIVE: Wanajeshi 14 JWTZ wauawa Congo, Mambo ya mgeukia Wema Sepetu   Mwandishi: Alice Tupa TZA kutoka millardayo.com

Read More

Waziri Jafo amsimamisha kazi Mkurugenzi (+Video)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoa wa Rukwa Julius Kaondo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za rushwa zinazomkabili. “Natangaza kumsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Julius Kaondo kuanzia leo ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma […] Mwandishi: Msombe TZA kutoka millardayo.com

Read More

EXCLUSIVE: Ni kweli Godbless Lema na Meya Boniface wamepigana?

Mchana wa December 7 2017 zilienea taarifa katika mitandao ya kijamii zikidaiwa kuwa Meya wa Ubungo kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Boniface Jacob na Mbunge wa Arusha Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Godbless Lema wamegombana na kupigana ngumi chanzo kikiwa hakijatajwa. AyoTV ilifanikiwa kuwatafuta Boniface Jacob na Godbless Lema na kufanya nao Exclusive interview na […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Kanisa la Gwajima labomolewa usikuusiku Ubungo DSM

Bado zoezi la Bomoa Bomoa linaendelea kuchukua headlines jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku chache tu zimepita toka tushuhudie zoezi la ubomoaji wa jengo la makao makuu ya Tanesco likiendelea, AyoTV imezinasa picha za kanisa la Askofu Gwajima likinbomolewa kupisha ujenzi wa barabara. EXCLUSIVE: Ni kweli Godbless Lema na Meya Boniface wamepigana? Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More