You are here

WEMA SEPETU: “kama kummiss mtu ni kosa niko tayari kutafutwa”

Leo December  5,2017  muigizaji Wema Sepetu karudi tena kwenye headlines baada ya kupost picha ya aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Luis Munana ambaye walishawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mfupi na baadae kuachana.   Wema Sepetu alimaanisha kuwa” kama kummiss mtu ni kosa niko tayari kutafutwa ,nawatakia jumanne njema, hii ni moja kati […] Mwandishi: Bynah TZA kutoka millardayo.com

Read More

Baada ya Wimbo mpya wa Diamond, Hamisa asema “maisha yanaendelea uwepo au usiwepo”

November 27,2017 msanii Diamond Platnumz aliamua kuachia nyimbo zake mbili ambazo ni “Niache” na “Sikomi” na baadae mwanadada Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenza alipost kipande cha wimbo huo wa ‘Niache’ kupitia mtandao wake wa Snapchat na kisha kuandika ujumbe ambao umetafsiriwa kwa namna tofauti na wanaotumia mitandao hiyo. Jambo hilo limefanya mashabiki waongee maoni […] Mwandishi: Bynah TZA kutoka millardayo.com

Read More

Balaa la Alikiba kwenye stage ya Fiesta Dodoma

Msaani Alikiba alikuwa miongoni mwa wasanii waliotoa burudani usiku wa Nov 03, 2017 katika uwanja wa Jamuhuri Stadium Dodoma ambapo lilifanyika tamasha la burudani la msimu wa fiesta kwa Mwaka huu 2017. Tazama hapa uone alichokifanya Alikiba. Ulipitwa na hii? BAADA YA MIAKA 7: Alikiba hajaicha Mbeya salama FIESTA 2017 Mwandishi: Janeth Mesomapya kutoka millardayo.com

Read More

Kitu kilichomuunganisha Diamond na Mastaa wakubwa Marekani

Baada ya kuchaguliwa Kama Balozi wa Kinywaji cha Bellaire, Diamond Platnumz kwa sasa anaungana na mastaa wakubwa Marekani katika kuwa mabalozi wa Kinywaji hicho. Mastaa hao wa Hollywood ni pamoja na DJ Khaleed, Rick Ross na French Montana. Ulipitwa na hii? Staa mwingine iliyemtokea ishu kama ya Diamond Platnumz Hii je? DIAMOND KUZAA NA HAMISA! […] Mwandishi: Janeth Mesomapya kutoka millardayo.com

Read More

VIDEO: Ilivyozinduliwa Filamu mpya ya Kibongo T-Junction, Mlimani City

Usiku wa August 10, 2017 Mlimani City kulikuwa na uzinduzi wa filamu mpya T-Junction ambayo imeshirikisha mastaa wachache huku idadi kubwa ikiwa ni wasanii chipukizi kwenye tasnia ya Filamu na mgeni Rasmi akiwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Ayo TV ilipiga story na baadhi ya mastaa waliohudhuria uzinduzi huo Single Mtambalike, Gabo Zegamba na MC Pilipili na wengine chipukizi waliopata nafasi ya […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Maneno ya Ebitoke baada ya kukutana na Ben Pol

Leo June 23, 2017 baada ya mwimbaji wa RnB Ben Pol kupost picha kwenye Instagram yake na kuandika ujumbe wa shukrani kwa kuzipokea hisia zake na kukutana na Ebitoke…sasa story ni kwamba mchekeshaji huyo naye ameitumia account yake ya Instagram pia kumshukuru kwa kumpokea. Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Story.. Maamuzi ya Dogo Janja baada […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More