You are here

Baada ya JPM kutoa msamaha kwa babu Seya, Cheni, Mh Temba na wengine wameandika

Siku ya December 9, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza msamaha kwa Familia ya Babu Seya, msamaha huo ameutoa wakati wa Maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania bara Mjini Dodoma wakati akihutubia. Baada ya msamaha huo wa Rais baadhi ya mastaa wameonesha kuguswa na msamaha huo ambapo […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

“Ipo siku nitakufa, hakuna anayeishi milele” – WEMA SEPETU

Leo Nov 29, 2017 muigizaji kutokea Bongomovie Wema Sepetu ameamua kuandika dukuduku lake kuhusiana na matusi ambayo amekuwa akitukwana kwenye mitandao ya kijamii jambo ambalo limemfanya aseme anatamani kutokuendelea kuwepo kwenye mitandao hiyo. Wema ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika ujumbe huo na kuonesha jinsi gani amechoshwa na hali hiyo. Kwenye akaunti yake hiyo Wema […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

ULIWAMISS Alikiba na Abdukiba kwenye kolabo ya pamoja? wanatuletea hii

Baada ya kimya cha muda mrefu wakali kutokea Bongoflevani Alikiba na Abdukiba ambao ni ndugu wa damu wameamua kurudi tena kwenye headlines za bongofleva baada ya kujiandaa kuachia wimbo wao mpya. Uthibitisho wa kuachia wimbo huo umepatikana baada ya Alikiba na Abdukiba kupost kupitia mitandao yao ya Instagram kwa kuahidi kuwa wataachia Audio na Video […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Moto wa Rich Mavoko, Ya Moto Band, Mr Blue na Nyandu Tozi FIESTA DSM (+Video)

November 25, 2017 historia nyingine imeandikwa kwenye muziki wa Bongofleva nchini Tanazania kupitia Tamasha la FIESTA 2017 ambapo baada ya kuzunguka mikoani Usiku wa November 25 ilikuwa ni zamu ya watu wa Dar es Salaam. Rich Mavoko, Ya Moto Band, Nyandu Tozi pamoja na Mr Blue ni miongoni mwa wasanii walioandika historia usiku wa huo […] Mwandishi: Lonny TZA kutoka millardayo.com

Read More

Soudy Brown alivyowagonganisha Madam Flora na Emmanuel Mbasha

Moja ya story ambayo ilikuwa inasambaa na kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu mwimbaji wa Injili Madam Flora kukanusha kauli iliyodaiwa imetoka kwake kuwa “Hakuna haja ya kuwa na Mwanaume asiyekuridhirisha kinyumba.” Sasa leo July 19, 2017 kwenye Uheard ya XXL ya Clouds FM Gossip Cop Soudy Brown amepiga stori na Madam Flora na aliyewahi kuwa mumewe Emmanuel Mbasha […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Alichosema TID baada ya kukutana na Quick Rocka na OMG kwenye XXL

Siku chache zilizopita Quick Rocka na kundi la OMG waliachia video ya wimbo Watasema huku staa mwingine wa Bongofleva TID akidai wametumia melody na maneno ya wimbo wake bila ridhaa yake hivyo kutaka alipwe fidia ya Tsh. 20m. Sasa leo June 27, 2017 wasanii hao wamekutana ana kwa ana kwenye XXL ya Clouds FM ikiwa ni Eid Pili […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Bill Nass afunguka kinachoendelea kati ya Wakazi na Godzilla

Story kubwa ambayo inatrend kwenye Bongofleva ni kudaiwa kuwepo kwa vita ya maneno kati ya Wakazi na Godzilla ambapo kila mmoja kwa nyakati tofauti amejinadi kuwa ni bora zaidi ya mwingine kitu kilichopelekea kutoa nyimbo zinazosemwa wanaimbana. Inadaiwa pia kutokana na vita hiyo ya maneno kumewafanya wasanii hao kutunga nyimbo za tambo mbapo wakati Wakazi akitoa […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

“Ugomvi wa Alikiba na Diamond ulianzia Oman 2010, mimi Shahidi” – AT

Mwimbaji staa wa miondoko ya Mduara AT amefunguka kwenye XXL ya Clouds FM na kudai kuwa aliwahi kushuhudia ugonvi wa Alikiba na Diamond ambao kwa mujibu wake ulianzia Uarabuni naye alikuwa shahidi. AT amesema watu wengi wanakurupuka kuhusu ugomvi wa Alikiba na Diamond kwa kuwa alikuwepo Oman mwaka 2010 ambapo Alikiba na Diamond walikuwa wanacheza […] The post “Ugomvi wa Alikiba na Diamond ulianzia Oman 2010, mimi Shahidi” – AT appeared first on millardayo.com. Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More