You are here

VIDEO FUPI: Joti na vituko vyake baada ya Papi Kocha na Babu Seya kuachiwa huru

Mastaa mbalimbali wameonyesha hisia zao baada ya kuachiwa kwa Mastaa wa Muziki Papi Kocha na Baba yake Nguza Viking (Babu Seya) ambapo Mchekeshaji Joti ni miongoni mwao…. kama kawaida na vituko vyake VIDEO ILIYONASA BABU SEYA NA PAPI KOCHA WAKITOKA GEREZANI UKONGA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI HD VIDEO: JPM ALIVYOTANGAA KUWASAMEHE BABU SEYA NA PAPI […] Mwandishi: Millard Ayo kutoka millardayo.com

Read More

Baada ya JPM kutoa msamaha kwa babu Seya, Cheni, Mh Temba na wengine wameandika

Siku ya December 9, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza msamaha kwa Familia ya Babu Seya, msamaha huo ameutoa wakati wa Maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania bara Mjini Dodoma wakati akihutubia. Baada ya msamaha huo wa Rais baadhi ya mastaa wameonesha kuguswa na msamaha huo ambapo […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Diamond na Producer Tudd Thomas washinda tuzo za AELA Nigeria

Muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz pamoja na producer Tudd Thomas wamefanikiwa kushinda tuzo za African Entertainment Legends Awards (AELA) zilizofanyika  usiku wa Desemba 3, 2017 Lagos nchini Nigeria. Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya wimbo bora wa kushirikiana Afrika kupitia wimbo wake wa Fire aliyomshirikisha Tiwa Savage kutokea nchini Nigeria,  wakati producer Tudd Thomas kutokea Tanzania akishinda tuzo ya producer bora […] Mwandishi: Bynah TZA kutoka millardayo.com

Read More

Taa ya Dr. Shika yazidi kuwaka, kaandaliwa Tamasha time hii (+video)

Global Publishers wameiendeleza Trend ya Dr. Luis Shika ambapo baada ya kula vimeo vya matangazo na kutokea kwenye video za Bongofleva hapa na pale baada ya kujizolea umaarufu kwenye mnada wa nyumba za Lugumi, Christmas hii itakua nzuri kwake. Global Publishers wamemuandalia Tamasha siku ya December 9 2017 DAR LIVE Mbagala na kuliita “USIKU WA […] Mwandishi: Millard Ayo kutoka millardayo.com

Read More

PICHA 7: Cassper Nyovest alivyojaza uwanja wa mpira South Africa

Kwa wiki kadhaa Super Star wa Hiphop South Africa Cassper Nyovest alikua akisema anataka kuujaza uwanja wa mpira kwenye Tamasha lake la December 2 2017, usiku wa kuamkia leo ndio ilikua shughuli yenyewe na amethibitisha mwenyewe kuuza ticket Elfu 68. Kupitia mtandao wake wa Twitter Cassper amethibitisha ticket zote kununuliwa ambapo idadi yake ndio hiyo ya […] Mwandishi: Millard Ayo kutoka millardayo.com

Read More

PICHA 28: Kutoka kwenye Harusi ya Dj wa Diamond Platnumz, Rommy Jones

December 01, 2017 Official Dj wa Mwimbaji Diamond Platnumz, Rommy Jones amefunga ndoa na mpenzi wake walieishi pamoja kwa siku nyingi ambapo harusi hiyo imehudhuriwa na mastaa kibao kama Diamond Platnumz, Zari the boss lady, Rayvany, Harmonize, Rich Mavoko na wengine. FULL VIDEO: DIAMOND NA ZARI KWENYE 40 YA MTOTO WA TALE…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO: HARUSI […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

FULL VIDEO: Diamond, Zari na wengine kwenye 40 ya Mtoto wa Tale

December 2 2017 ilikua ni 40 ya Mtoto wa Meneja wa WCB WASAFI Babu Tale ambapo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Diamond na Zari, Madee, Lavalava, Luludiva, Feza Kessy na wengine… tazama hii video kujionea ilivyokua. POLEPOLE: “WEMA ABAKI HUKOHUKO” + EXCLUSIVE AUDIO… BONYEZA PLAY HAPA CHINI VIDEO: HARUSI YA DJ WA DIAMOND PLATNUMZ ROMMY […] Mwandishi: Millard Ayo kutoka millardayo.com

Read More