You are here

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

Wimbo mpya wa Diamond Platnumz aliomshirikisha rapper mkongwe wa Marekani, Rick Ross ‘Waka’ umeshika namba moja kwenye mtandao wa Youtube kwenye nchi tatu tofauti, Tanzania, Kenya na Uganda. Diamond Platnumz kupitia Instagram yake ameandika ujumbe wa kuwashukuru mashabiki wake kwa kuwezesha hilo. THANK YOU SO MUCH FOR THIS LOVE MY PEOPLE….Nashkuru kwa kuendelea kukipokea Kidogo changu niwapacho….Inshaallah Mungu anijalie niwape kikubwa zaidi NUMBER ONE HERE!! NUMBER ONE THERE!!…WAKA WAKA NUMBER ONE EVERY WHERE!!!!….. #TANZANIA #KENYA #UGANDA  STREAM!! WATCH!! DOWNLOAD!! SHARE!! LINK IN MY BIO Pia Diamond ameachia tracklist ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album yake mpya…

Read More
Burudani Diamond platnumz 

Uongozi wa Diamond Waahirisha Kuachia Wimbo wa Diomondi na Rick Ross

Uongozi msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz umeahirisha kuachia wimbo mpya wa msanii huyo ‘Waka’ ambao amemshirikisha rapper kutoka nchini Marekani Rick Ross. Akithibitisha hilo Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam amesema kuwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao wimbo huo hauwezi kutoka leo Desemba mosi kama ilivyokuwa imepangwa awali. “Tunaomba Msamaha Wimbo wa #Waka ulitakuwa kutoka siku ya leo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kwahiyo hautaweza kutoka leo lakini muda sio mrefu tutawajuza!! Sorry for any inconvenience“ameandika Sallam kwenye ukurasa wake wa Instagram. Mwanzoni mwa…

Read More

Baada ya Wimbo mpya wa Diamond, Hamisa asema “maisha yanaendelea uwepo au usiwepo”

November 27,2017 msanii Diamond Platnumz aliamua kuachia nyimbo zake mbili ambazo ni “Niache” na “Sikomi” na baadae mwanadada Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenza alipost kipande cha wimbo huo wa ‘Niache’ kupitia mtandao wake wa Snapchat na kisha kuandika ujumbe ambao umetafsiriwa kwa namna tofauti na wanaotumia mitandao hiyo. Jambo hilo limefanya mashabiki waongee maoni […] Mwandishi: Bynah TZA kutoka millardayo.com

Read More