You are here

Mkubwa Fella – Alikiba ni mwanangu wa dhahabu

Meneja Mkubwa Fella ambaye pia ni mingoni mwa wale wanaomsimamia Diamond Platnumz amesema hilo haliwezi kumzuia kufanya kazi na Alikiba. Kutokana na ukaribu wake na Diamond mashabiki wengi wamekuwa wakidhani kuwa yeye ni team Diamond, hata hivyo ameeleza katika kazi hakuna utimu. “Kwanza ukae ukijua sijawahi kusema sifanyi kazi na mtu yeyote, Alikiba mimi ni mwanangu wa dhahabu, ni mwanangu wa gold wala wala usiseme kuna hiki na hiki japokuwa wanasema chawa, basi chawa waje vizuri kwa sababu mimi ndiye meneja wa kwanza katika muziki huu sina pingamizi kusema nitafanya…

Read More
Entertainment Featured Hot Hot Below Trending Nigeria Peter okoye Psquare Trending Topic 

Serikali yaagiza Peter wa Psquare akamatwe kwa kupinga uamuzi wa kuzuia wasanii kushoot video nje ya nchi

Serikali ya Nigeria imeagiza police kumkamata Peter Okoye “P-Square” baada ya kuwakoromea na kuwafumua viongozi wa serikali Kwa kuwaita “mad and stupid” baada ya serikali kutoa azimio la kupiga marufuku wasanii wote wa Filamu na muziki kushoot kazi zao nje ya Nigeria Peter Okoye alitumia mitandao ya kijamii kuelezea maoni yake juu ya mpango huo mpya wa serikali, aliandika, Sometimes am ashamed to be called a Nigerian because this people Tufia kwa Another Nationality Loading…… #shame — Peter Okoye MrP (@PeterPsquare) July 16, 2017 Ujumbe uliotolewa wa kumkamata msanii huyo…

Read More

Video: Rama Dee amaliza tofauti zake na Clouds FM, awaomba msamaha mashabiki

Mkali wa R&B, Rama Dee hatimaye amaliza tofauti zake na kituo cha radio cha Clouds FM. Kupitia kipindi cha XXL, Rama Dee ameomba radhi kwa yote yaliyotokea kipindi cha nyuma na kueleza kuwa ni muda wa kufanya muziki mzuri. “Mimi nasema kwa mashabiki wangu wote wa Clouds Fm na kote wanakonisikiliza, sasa hivi ni muda wa sisi kukaa sehemu moja. Kwa hiyo, kwa chochote ambacho kimetokea kwa Rama Dee ambacho kilionekana si sahihi, naweza kusema I m sorry” Rama Dee alifunguka. “Na kwa Clouds Fm kwa wao wenyewe wanaona kwamba kuna…

Read More

Baraka da Prince: Sitambui kama Alikiba ni boss wa Rockstar4000, sijapewa taarifa hizo

Msanii kutoka label ya muziki ya Rockstar4000, Baraka da Prince amesema hajapewa taarifa zozote kuhusu msanii mwenzake, Alikiba kuteuliwa kuwa Boss wa label hiyo. Kupitia kipidi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Baraka amedai kuwa taarifa hizo amekuwa akiziona kwenye mitandao tu kama watu wengine lakini uongozi wake haujampa taarifa yoyote kwa maana hiyo hamtambui kama Boss wake bali msanii mwenzake chini ya label hiyo. Alikiba alitangazwa wiki iliyopita kuwa mkurugenzi na mmoja ya wa miliki wa label hiyo ya muziki inayosimamia wasanii mbalimbali Afrika.   Mwandishi: sadock kutoka…

Read More

Future atoa ratiba ya Tour yake, Tanzania ndani

Rapper wa Marekani, Future amethibitisha show yake ya Tanzania, Julai 22. Future ametoa orodha ya ziara yake ya muziki ya ‘The Future Hendrxx Tour’ na Tanzania ni moja ya nchi ambayo Tour hiyo itatembelea. Future atatumbuiza Tanzania pamoja na Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Navy Kenzo na Weusi. Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Read More

New video-Kutoka kwa Lidy Mgaya-Tuilinde Amani Yetu

    Isifike muda tukashindwa hata kuzikana , leo sina mboga nikaogopa hata kukuomba  Maneno na uchochezi siyo silaha yetu , amani na upendo ndiyo sifa yetu… Hii ni baadhi ya mistari yanayo patikana katika wimbo huu kwenye ubeti wa pili katika wimbo wa Tuilinde amani yetu kutoka kwa Lidya mgaya kujua ubeti wa kwanza kaongelea nini itazame hii video hapa chini  Mwandishi: sancho song kutoka TEAMTZ

Read More