You are here

Mkubwa Fella – Alikiba ni mwanangu wa dhahabu

Meneja Mkubwa Fella ambaye pia ni mingoni mwa wale wanaomsimamia Diamond Platnumz amesema hilo haliwezi kumzuia kufanya kazi na Alikiba. Kutokana na ukaribu wake na Diamond mashabiki wengi wamekuwa wakidhani kuwa yeye ni team Diamond, hata hivyo ameeleza katika kazi hakuna utimu. “Kwanza ukae ukijua sijawahi kusema sifanyi kazi na mtu yeyote, Alikiba mimi ni mwanangu wa dhahabu, ni mwanangu wa gold wala wala usiseme kuna hiki na hiki japokuwa wanasema chawa, basi chawa waje vizuri kwa sababu mimi ndiye meneja wa kwanza katika muziki huu sina pingamizi kusema nitafanya…

Read More

Korea Kaskazini: Tuna mpango wa kushambulia kisiwa cha Marekani cha Guam siku chache zinazokuja

Korea Kaskazini inasema mpango wake ya kufyatua makombora kwenda kisiwa cha Marekani cha Guam, utakuwa tayari hivi karibuni huku majibizano ya kivita kati yake na Marekani yakiendelea. Vyombo vya habari vilisema kuwa makombora ya Hwasong-12 yatapita anga ya Japan na kuanguka baharini karibu kilomita 30 kutoka kisiwa cha Guam ikiwa mpango huo utaidhinishwa na Kim Jong-un. Korea ilipuuzna onyo la Donald Trump kuwa itashambuliwa vikali. Marekanai imeionya Korea Kaskazini ikisema kuwa vitendo vyake vinamaanisha kuwa huo utakuwa mwisho wa utawala wa nchi hiyo. Waziri wa ulinzi nchini Marekani Jim Mattis…

Read More
Entertainment Featured Hot Hot Below Trending Nigeria Peter okoye Psquare Trending Topic 

Serikali yaagiza Peter wa Psquare akamatwe kwa kupinga uamuzi wa kuzuia wasanii kushoot video nje ya nchi

Serikali ya Nigeria imeagiza police kumkamata Peter Okoye “P-Square” baada ya kuwakoromea na kuwafumua viongozi wa serikali Kwa kuwaita “mad and stupid” baada ya serikali kutoa azimio la kupiga marufuku wasanii wote wa Filamu na muziki kushoot kazi zao nje ya Nigeria Peter Okoye alitumia mitandao ya kijamii kuelezea maoni yake juu ya mpango huo mpya wa serikali, aliandika, Sometimes am ashamed to be called a Nigerian because this people Tufia kwa Another Nationality Loading…… #shame — Peter Okoye MrP (@PeterPsquare) July 16, 2017 Ujumbe uliotolewa wa kumkamata msanii huyo…

Read More

Wajumbe wapya Yanga wateuliwa

Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga ameteuwa wajumbe wapya 12 watakaounda kamati ya mashindano. Katika wajumbe hao wapya waliyoteliwa, Magid Suleiman ameteuliwa kuwa Mwenyekiti na Mustapha Urungo kuwa Makamu Mwenyekiti. Mwandishi: sancho song kutoka TEAMTZ

Read More

Video: Rama Dee amaliza tofauti zake na Clouds FM, awaomba msamaha mashabiki

Mkali wa R&B, Rama Dee hatimaye amaliza tofauti zake na kituo cha radio cha Clouds FM. Kupitia kipindi cha XXL, Rama Dee ameomba radhi kwa yote yaliyotokea kipindi cha nyuma na kueleza kuwa ni muda wa kufanya muziki mzuri. “Mimi nasema kwa mashabiki wangu wote wa Clouds Fm na kote wanakonisikiliza, sasa hivi ni muda wa sisi kukaa sehemu moja. Kwa hiyo, kwa chochote ambacho kimetokea kwa Rama Dee ambacho kilionekana si sahihi, naweza kusema I m sorry” Rama Dee alifunguka. “Na kwa Clouds Fm kwa wao wenyewe wanaona kwamba kuna…

Read More