You are here

Kitu kilichomuunganisha Diamond na Mastaa wakubwa Marekani

Baada ya kuchaguliwa Kama Balozi wa Kinywaji cha Bellaire, Diamond Platnumz kwa sasa anaungana na mastaa wakubwa Marekani katika kuwa mabalozi wa Kinywaji hicho. Mastaa hao wa Hollywood ni pamoja na DJ Khaleed, Rick Ross na French Montana. Ulipitwa na hii? Staa mwingine iliyemtokea ishu kama ya Diamond Platnumz Hii je? DIAMOND KUZAA NA HAMISA! […] Mwandishi: Janeth Mesomapya kutoka millardayo.com

Read More

VIDEO: Ilivyozinduliwa Filamu mpya ya Kibongo T-Junction, Mlimani City

Usiku wa August 10, 2017 Mlimani City kulikuwa na uzinduzi wa filamu mpya T-Junction ambayo imeshirikisha mastaa wachache huku idadi kubwa ikiwa ni wasanii chipukizi kwenye tasnia ya Filamu na mgeni Rasmi akiwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Ayo TV ilipiga story na baadhi ya mastaa waliohudhuria uzinduzi huo Single Mtambalike, Gabo Zegamba na MC Pilipili na wengine chipukizi waliopata nafasi ya […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Soudy Brown alivyowagonganisha Madam Flora na Emmanuel Mbasha

Moja ya story ambayo ilikuwa inasambaa na kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu mwimbaji wa Injili Madam Flora kukanusha kauli iliyodaiwa imetoka kwake kuwa “Hakuna haja ya kuwa na Mwanaume asiyekuridhirisha kinyumba.” Sasa leo July 19, 2017 kwenye Uheard ya XXL ya Clouds FM Gossip Cop Soudy Brown amepiga stori na Madam Flora na aliyewahi kuwa mumewe Emmanuel Mbasha […] Mwandishi: Victor Kileo TZA kutoka millardayo.com

Read More