You are here

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

Kwenye mahojiano na jarida la Interview nchini Marekani, staa wa HipHop mwenye ngozi nyeupe na ushawishi mkubwa Duniani Eminem amesema huwa ana rekodi takriban nyimbo 50 akiwa anatengeneza albam yake mpya ili kuweza kuchagua zipi zitakuwa kwenye album. Album yake mpya amewashirikisha wasanii kama Beyoncé, Alicia Keys, Ed Sheeran, Kehlani, imepewa jina Revival na itatoka Dec. 15. Picha ni Cover la album na orodha ya nyimbo Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Read More

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

Wimbo mpya wa Diamond Platnumz aliomshirikisha rapper mkongwe wa Marekani, Rick Ross ‘Waka’ umeshika namba moja kwenye mtandao wa Youtube kwenye nchi tatu tofauti, Tanzania, Kenya na Uganda. Diamond Platnumz kupitia Instagram yake ameandika ujumbe wa kuwashukuru mashabiki wake kwa kuwezesha hilo. THANK YOU SO MUCH FOR THIS LOVE MY PEOPLE….Nashkuru kwa kuendelea kukipokea Kidogo changu niwapacho….Inshaallah Mungu anijalie niwape kikubwa zaidi NUMBER ONE HERE!! NUMBER ONE THERE!!…WAKA WAKA NUMBER ONE EVERY WHERE!!!!….. #TANZANIA #KENYA #UGANDA  STREAM!! WATCH!! DOWNLOAD!! SHARE!! LINK IN MY BIO Pia Diamond ameachia tracklist ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album yake mpya…

Read More
Featured Hot Hot Below Trending Manchester City Manchester United Sports Trending Topic 

Man United yachezea 2-1 kwa Man City

Manchester City imeendeleza ubabe wake kwenye ligi kuu soka ya England baada ya kumchapa hasimu wake wa jiji moja Manchester United 2-1. Katika mchezo huo ambao City ilimiliki mpira wakati mwingi, ilipata goli lake la kwanza kupitia David Silva dakika ya 43 kabla ya Marcus Rashford kusawazisha dakika ya 45 na Nicolás Otamendi kupachika la pili na la ushindi dakika ya 54. Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema kwa sasa ni wazi asilimia kuwa ya ubingwa msimu huu ikaenda kwa City. ”Wamecheza vizuri, wengi walitarajia hili, ni vigumu kuwakabili…

Read More

Cristiano Ronaldo amfunika tena Messi kwenye tuzo ya Ballon D’or

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Ballon d’Or kwa mwaka wa pili mfululizo usiku wa kuamkia leo. Ronaldo amemshinda mpinzani wake wa karibu Lionel Messi, katika tuzo hiyo na kuweza kuitwaa kwa mara ya tano na kuwa sawa na Messi ambae pia ametwaa kwa mara tano. Nyota wa Barcelona Lionel Messi, amepata nafasi ya pili huku mchezaji mahiri wa Psg ya nchi Ufaransa Neymar Jr,akiwa katika nafasi ya tatu Msimu uliopita Ronaldo aliisaidia timu yake ya Real Madrid kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani…

Read More

New Video: Stella Mwangi – Ready To Pop [Official Music Video]

Rapper wa Kenya mwenye makazi yake nchini Norway, Stella Mwangi ameachia single ya mpya, Ready to Pop, ya kwanza chini ya label yake mpya, Badili Akili Music. Chini ni maelezo zaidi kuhusu wimbo huo: The single produced by Tom Rodger Rogstad and Kim Hoglund is an authentic hip hop record that will definitely be a treat for the hip hop lovers, while taking Stella Mwangi real fans back to her hard core hip hop roots In light of the release, Stella Mwangi sends a message to her fans: “Okay fam,…

Read More

Demi-Leigh Nel-Peters, Miss wa South Africa atwaa taji la Miss Universe 2017

Miss South Africa, Demi-Leigh Nel-Peters ametwaa taji la Miss Universe 2017. Nel-Peters amewashinda mshindi wa pili Miss Colombia Laura González na wa tatu Miss Jamaica Davina Bennett usiku wa Jumapili huko Las Vegas, Marekani. Nel-Peters, 22, hivi karibuni alipata shahada ya business management, North-West University. Walioingia wengine waliongia kwenye 13 bora ni kutoka Thailand, Sri Lanka, Ghana, Spain, Ireland, Croatia, Uingereza, Marekani, Brazil, Canada, Philippines, Venezuela na China. Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Read More