Orodha ya Forbes ya waigizaji wa kike wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi 2017

Sofia Vergara amekuwa staa wa filamu ambaye amelipwa fedha nyingi zaidi kuanzia Juni mwaka jana mpaka kufikia mwezi Juni mwaka huu. Kwa mujibu wa jarida la Forbes limesema, Sofia ameingiza kiasi cha dola milioni 41.5 milioni ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 91 kwa fedha za kitanzania. Huu ni mwaka wa sita mfululizo muigizaji huyo anaongoza katika orodha hiyo. Fedha hiz zinatokana na malipo ya uigizaji, dili za matangazo, biashara binafsi na mambo mengine. Naye mrembo Priyanka Chopra kutoka nchini India anashika nafasi ya nane katika orodha hiyo akiwa ameingiza…

Read More