You are here
Featured Hot Hot Below Trending Italia Kombe la Dunia Sports Trending Topic 

Italia yashindwa kufuzu kombe la dunia 2018

Mabingwa mara nne wa kombe la dunia Italia, wameshindwa kufuzu fainali za mwa 2018 nchini Urusi ikiwa ni mara ya kwanza tokea mwaka 1958 baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana na Sweden. Hii ina maana kwamba Azzurri watayakosa mashindano hayo kwa mara ya pili tokea kuanzishwa, mara ya kwanza ilikua mwaka 1930. Kiungo Jakob Johansson wa Sweden aliyefunga goli katika mzunguko wa kwanza alikuwa katika kiwango bora na kuwadhibiti vyema Italia katika uwanja wa San Siro. Wengi walitaraji Italia kushinda mchezo huu kwa sababu lukuki ikiwemo historia sambamba na…

Read More

FIFA yaidhinisha kuwepo timu 48 kombe la dunia

Chama cha soka duniani FIFA kimepanga kuwepo kwa michezo sita ili zipatikane timu zitakazoingia katika fainali za kombe la dunia mwaka 2020. FIFA imefafanua ni kwa namna gani timu 48 zitaweza kushiriki michuano hiyo. Rais wa shirikisho la soka Ulaya Aleksander Ceferin amesema kuwa amefurahishwa na hatua hiyo na nchi za Ulaya zitawakilishwa vyema. Mchakato utakuaje? Kila mwanachama wa FIFA atakuwa na uwezo wa kuongeza walau timu moja katika michuano ya mwaka 2026. Mwenyeji wa fainali hizi ataingia moja kwa moja kama ilivyokua awali. Mapendekezo yapo hivi Afrika – 9…

Read More

Kombe la Dunia 2018: Ratiba ya mechi za kufuzu bara la ulaya

Ijumaa hii ya Machi 24, Timu za bara la ulaya zitaanza mechi za kufuzu kombe la dunia  zitakazo fanyika nchini Urusi mwaka 2018. Mechi zitakazochezwa ni pamoja na michezo ya kundi D, ambapo Georgia watacheza na Serbia, Austria watakua wenyeji wa Moldova na Ireland wakicheza dhidi ya Wales. Huku kundi G Hispania watakipiga na Israel, Liechtenstein wao watapimana ubavu na Macedonia, timu ya taifa ya Italia itacheza dhidi ya Albania. Wakati huo huo Croatia wao watakua wenyeji wa Ukraine, huku Kosovo wakicheza na Iceland na Finland watakuwa ugenini dhidi ya Uturuki hii ikiwa ni…

Read More