You are here

Mohamed Salah wa Liverpool katwaa tuzo ya BBC 2017

Shirika la utangazaji la Uingereza la BBC leo Jumatatu ya December 11 2017 limemtangaza mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika kwa mwaka 2017 na kumkabidhi tuzo hiyo. BBC wamemtangaza staa wa timu ya taifa ya Misri anayeichezea Liverpool Mohamed Salah kuwa ndio mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika wa BBC kwa […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

“Tumerogwa na nani?wapi tunakosea kama nchi?”-Haji Manara

Timu ya taifa ya Tanzania bara maarufu kama Kilimanjaro Stars iliyopo nchini Kenya katika michuano ya Kombe la CECAFA Senior Challenge Cup leo imecheza mchezo wake wa kukamilisha ratiba wa michuano hiyo dhidi ya timu ya taifa ya Kenya ambao ndio wenyeji wa michuano hiyo. Kilimanjaro Stars leo imepoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Kenya […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More
Michezo 

Simba Yambwaga Nyota Huyu Wa Kimataifa

Mlinzi wa kimataifa wa Simba SC kutoka nchini Zimbabwe Method Mwanjali ameachana na klabu ya Simba SC yenye masikani yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es salaam. Mwanjali ambaye ni nahodha wa Simba ameachwa katika dirisha hili dogo la usajili na tayari benchi la ufundi la klabu hiyo sambamba na kamati ya usajili wapo mbioni kumsajili mlinzi mwingine mwenye uwezo mkubwa na uzoefu wa mechi za kimataifa yakiwa maandalizi kwa ushiriki wao katika kombe la Shirikisho mwakani. Sababu za kumuacha Method Mwanjali ni majeruhi ya mara kwa mara kitu ambacho…

Read More

Ratiba ya 16 bora UEFA na 32 Europa League imepangwa leo

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo Jumatatu ya December 11 2017 limepanga michezo ya 16 bora ya michuano hiyo kwa kuchezeshwa, mechi za kwanza za UEFA Champions League 16 bora zitachezwa February 13,14, 20,21 2018 na marudiano ni March 6, 7, 13 na 14 2018. VIDEO: Atayofanya Mo Dewji kwa Simba ndani ya mwaka mmoja Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Wachezaji 6 ambao waligeuka kuwa Wachungaji baada ya kuacha soka

Wacheza soka wengi huwa wanaishia kufanya biashara au kuwa Makocha baada ya kustaafu kucheza soka ila hawa ni miongoni mwa wachache walioamua kuingia kwenye dini na kuwa Wahubiri. 1. Taribo West Mchezaji matata wa Super Eagles alihadithia alivyojihusisha na mambo ya kishetani alipokuwa Mchezaji, alikutana baadae na Mchungaji wa kike, Patience Ikemefuna aliemwambia neno la […] Mwandishi: Millard Ayo kutoka millardayo.com

Read More

Viongozi wakuu wa TFF kumzika Joel Bendera

Viongozi wakuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais Wallace Karia na Makamu Rais Michael Wambura wataongoza ujumbe wa shirikisho katika mazishi Kocha wa zamani wa Taifa Stars, marehemu Joel Nkaya Bendera. Bendera aliyefariki dunia Desemba 6, mwaka huu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, atazikwa leo Jumapili Desemba 10, 2017 makaburi ya Kijiji cha Manundu, Korogwe mkoani Tanga. Ujumbe huo pia utamjumuisha Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la TFF, Mhe. Mohammed Abdulaziz; Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi; Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi, Vedastus Lufano pamoja na…

Read More

Wakenya wamefanya maandamano ya amani ya kumuombea Victor Wanyama

Mashabiki wa Totteham Hotspurs nchini Kenya wamefanya maandamano ya amani na kushika mabango yenye ujumbe wa kumuombea nahodha wao wa timu ya taifa ya Kenya anayeichezea club ya Tottenham Hotspurs ya England Victor Wanayama. Mashabiki hao wamefanya maandamano hayo kumuombea Victor Wanyama ambaye amekuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu akisumbuliwa […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Kauli ya kocha wa Tanzania bara kwa wanzania baada ya CECAFA

Jumamosi ya December 9 2017 timu ya taifa ya Tanzania bara Kilimanjaro Stars ilihitimisha safari yake ya kuwania Kombe la CECAFA nchini Kenya kwa kucheza mchezo wake wa tatu wa Kundi lao dhidi ya timu ya taifa ya Rwanda. Kwa bahati mbaya Tanzania bara wamepoteza mchezo wao wa pili leo kwa kuruhusu kufungwa na Rwanda […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More