You are here

Kijana wa miaka 25 aliyeshinda Bajaj kutoka SportPesa

Kampuni ya michezo ya ubashiri ya SportPesa bado inaendelea na utaratibu wake wa kuwashukuru wateja wao na watanzania kwa kuwapokea vizuri na wanaendelea kutoa Bajaj mpya kwa wateja wao. Kijana Dotto Athumani mwenye umri wa miaka 25 ni miongoni mwa vijana wa Tanzania waliopata nafasi ya kushinda Bajaj mpya kutoka SportPesa kati ya Bajaj 100 […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Patrice Evra akivuta gari kwa mikono na kutoa maneno baada ya kufungiwa na UEFA

Shirikisho la soka Ulaya UEFA Ijumaa ya November 10 2017 lilitangaza kumuadhibu beki wa kimataifa wa Ufaransa anaeichezea Olympique Marseilleya Patrice Evra kwa kosa la kumpiga Shabiki wao wakiwa Ureno kwenye mchezo wa Europa League. UEFA walitangaza kumfungia Evra kucheza mashindano yoyote ya UEFA hadi mwezi June 2018 kwa kosa la kumpiga teke shabiki, adhabu ambayo imepelekea Marseille wavunje mkataba na Evra lakini leo […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Cristiano Ronaldo apata mtoto wa nne

Staa wa soka wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo (32) amepata mtoto wa nne kutoka kwa mpenzi wake Georgina Rodriquez (22). Ronaldo ametoa taarifa ya kupata mtoto huyo kupitia katika mtandao wa kijamii wa Instagram. Mchezaji huyo bora duniani ametaja jina la mtoto huyo kuwa ni Alana Martina. Kwasasa Ronaldo amekuwa na watoto wanne ambao ni Cristiano Ronaldo Jr., Mateo Ronaldo, Eva Maria Dos Santos na Alana Martina. A Alana Martina acaba de nascer! Tanto a Geo como a Alana estão muito bem! Estamos todos muito felizes! ❤️ A…

Read More

Taifa Stars imelinda rekodi ya kocha Mayanga vs Benin leo

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Jumapili ya November 12 2017 ilikuwa nchini Benin kucheza mchezo wake wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya wenyeji wao Benin, mchezo ambao unatumika katika kupanga viwango vya FIFA vya kila mwezi. Taifa Stars ikiwa ugenini ilikuwa inacheza na Benin ambao wapo nafasi ya 79 katika viwango vya soka kwa […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

TOP 5: Wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji Bora Afrika BBC 2017

Shirika la utangazaji la Uingereza BBC baada ya kukaa na kupitia vigezo vyao limetangaza list ya majina matano ya wachezaji wa Afrika watakaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika wa BBC kwa mwaka 2017. BBC wametangaza majina ya wachezaji watano ambao kwa mwaka 2017 ndio watawania tuzo ya mchezaji bora Afrika wa BCC, waliyotajwa katika kuwania […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Mataifa 25 yaliofuzu kucheza Kombe la Dunia 2017 Urusi

Miezi inahesabiki kuelekeza mwezi June 2018 michuano ya Kombe la Dunia 2018 itakapoanza kutimua vumbi kule nchini Urusi kwa mataifa 32 kuanza kupimana nguvu kisoka, hadi kufikia jana November 11 2017 ni mataifa 25 ndio yamefuzu. Bara la Afrika ambao hutoa mataifa matano katika kila michuano ya Kombe la Dunia, litawakilishwa na nchi za Tunisia, […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More
Michezo 

PICHA: Timu ya Gofu ya NMB yashiriki mashindano ya Tanzania Open Kili Golf

Timu ya mchezo wa Gofu ya Benki ya NMB inashiriki michuano ya Tanzania Open Kili Golf ambayo yanafanyika mkoani Arusha. Akizungumza kuhusu machuano hiyo, kapteni wa timu hiyo, George Kivaria alisema wachezaji wa NMB ambao wameshiriki mashindano hayo ni watano lakini pia benki ya NMB imetoa udhamini kwa wachezaji 12 wa timu ya Jeshi Mgulani. Alisema lengo la kushiriki pamoja na kuwa sehemu ya udhamini wa michuano hiyo ni kuwa karibu na jamii wanayoihudumia na kuahidi kuendelea kudhamini michezo mbalimbali nchini. Tanzania Open Kili Golf imeshirikisha zaidi ya wachezaji 240…

Read More

Waziri Mwakyembe azindua Kamati Kuu ya AFCON

Serikali yazindua Kamati Kuu ya maandalizi ya Africa Cup of Nation Under 17 (AFCON) yenye wajumbe ishirini na tano kwa ajili ya kufanikisha mashindano hayo yatakayofanyika nchini mwaka 2019. Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt.Harrison Mwakyembe na kueleza kuwa uteuzi wa wajumbe hao wa kamati ulizingatia sekta muhimu zitakazo husika moja kwa moja katika kufanikisha mashindano hayo. “Nawapongeza wajumbe wote kwa kukubali uteuzi huu maana kazi ya kamati hii si ya kulipwa bali ni kujitolea kwa manufaa ya…

Read More