You are here

Askari 14 watanzania wameuwawa DRC Congo

Ijumaa ya December 8 2017 Tanzania imezipokea taarifa za wanajeshi 14 wa jeshi la wananchi Tanzania JWTZ kuuwawa na waasi nchini DRC Congo, wanajeshi wa Tanzania walikuwa DRC Congo kama sehemu ya kikosi cha kulinda amani cha umoja wa mataifa UN. Waasi wa ADF Jana Alhamisi ya December 7 2017 walivamia kambi ya MONUSCO iliyopo […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

Mataifa 5 duniani yenye watu wanaoishi maisha marefu zaidi

Kwenye ulimwengu wa sasa mtu kuweza kuishi zaidi ya miaka 80 inaaminika kuwa jambo kubwa na la kifahari sana, na hii inatokana na ripoti mbalimbali duniani zinazoonesha kuwa wastani wa masiha ya watu unapungua siku hadi siku kutokana na sababu mbalimbali. Moja kati ya ripoti hizo ni ‘ripoti ya furaha duniani 2017’ kwa sababu hizo […] Mwandishi: Reporters TZA kutoka millardayo.com

Read More

DR wa tiba mbadala wa baada ya kushinda Bajaj mpya kutoka SportPesa

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bado inaendelea na utaratibu wake wa kurudisha fadhila kwa wateja wake na watanzania kwa ujumla waliyoipokea vizuri kampuni hiyo, SportPesa wanaendelea na promosheni yao ya Shinda na SportPesa ambayo inawapa nafasi wateja wake kushinda Bajaj 100 ndani ya siku 100. Kijana wa kitanzania anayejulikana kwa jina la Hassan […] Mwandishi: Rama Mwelondo TZA kutoka millardayo.com

Read More

TATIZO KWENYE MILLARDAYO.COM

Uniwie radhi popote ulipo millardayo.com haitakua hewani kwa muda mfupi na tatizo linashughulikiwa kwa haraka, kwa sasa habari zote yakiwemo Magazeti ya Tanzania zitapatikana kwenye Youtube, Facebook na Twitter ambapo unaweza kubonyeza hapa ili upelekwe moja kwa moja >>> INSTAGRAM  FACEBOOK > TWITTER > YOUTUBE 

Read More

Baada ya kumwagia fedha, Mayweather amuonesha McGregor saa ya Tsh. 3bil

Baada ya kummwagia fedha walipokuwa New York bado Mayweather hakumuacha salama McGregor walipokutana tena SSE Arena, Wembley, London mara hii akimtambia kwa kumuonesha saa yenye thamani ya dollar 1.4 milioni (£1.06m), ambazo ni zaidi ya Tsh. 3 bilioni. Hatua hiyo ilikuja baada ya Conor McGregor kumwambia Mayweather kuwa amevaa high heels walipokuwa kwenye ziara London kuelekea pambano […] Mwandishi: Makoleko TZA kutoka millardayo.com

Read More

PICHA 10: Rugemarila na Harbinder Sethi walivyofikishwa Mahakamani leo

Leo June 19, 2017 TAKUKURU ilitangaza kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wawili wa kesi za ESCROW na IPTL James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi ambapo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM. Nimekuwekea picha 10 hapa eneo hilo!!! BREAKING: TAKUKURU yawapeleka Mahakamani Rugemalila na Harbinder Sethi, Bonyeza play hapa chini kutazama  Mwandishi: Edwin Kamugisha TZA kutoka millardayo.com

Read More