New Video: Diamond Platnumz ft Morgan Heritage – Hallelujah (Official Music Video)

Boss wa WCB, Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Hallelujah’ aliyoshirikisha kundi la muziki wa reggae Morgan Heritage. Audio ya wimbo huo umefanywa na Lizer na video imetayarishwa na Mr. Moe Musa. Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Read More