You are here

New Audio: Neyo arudia ngoma ya ‘Humble’ ya Kendrick Lamar

Mkali wa R&B wa Marekani, Neyo ameonesha upande wake wa pili wa kurap kwenye remix ya ngoma ya Kendrick Lamar ‘Humble’ “I remember wishing I could sit at the Grammys with Jay and Bey, and Rihanna and Chris / Be part of the clique,” Neyo anachana. “Second guess myself and all my shit like, ‘Do I really fit?’ / Three Grammys later, I guess I must be pretty good at this.” Hii inakuwa ngoma mpya ya staa huyo baada ya ile aliyoshilikwa na Diamond Platnumz. Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Read More

Mtoto wa 50 Cent, Marquise Jackson amchana Baba yake kwenye ngoma yake ya kwanza

Mtoto wa kwanza wa rapper 50 Cent, Marquise Jackson ameachia ngoma yake ya, Different. Ameiambia tovuti ya Rap Up kuwa huo ndio wimbo wake wa kwanza kuwahi kufanya. Kwenye wimbo huo, dogo huyo anazungumzia pia uhusiano mbovu na baba yake. “Lost my pops, he’s still alive,” anarap Jackson. Jackson kwenye miaka 20, anatarajia kuachia mixtape yake ya kwanza mwaka huu. Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Read More