You are here

Ujumbe wa Nay wa Mitego kwa Vanessa Mdee, Issue ya Dawa za Kulevya

Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego amefunguka kwa kumpa pole mwanadada Vanessa Mdee ambaye anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutumia na kusambaza dawa za kulevya. Nay wa Mitego ameonesha kuguswa na tukio hilo lililomkuta Vee Money ambaye azimepita siku tano tangu ajisalimishe kituo cha Polisi. Kupitia Instagram Nay ameandika “Vanessamdee Sijui ulipo anzia, but mpaka apa ulipofikia umepambana sana. Nina imani mungu ndo aliye kufanyia wepesi mpaka kua #BrandKubwa na kupata hatua Ulizo nazo. Naamini Mungu Huyu Huyu ndiye atakae kufanyia Wepesi Kwenye yanayo…

Read More