You are here

Videos: Kilichotokea kwenye Tamasha la Fiesta 2017 Grand Finale

Show ya kufunga tamasha la Fiesta 2017 imefanyika weekend hii kwenye viwanja vya Leaders, Dar es salaam. Mastaa wakubwa wa Tanzania waliungana kulishambulia jukwaa la tamasha hilo kubwa zaidi Tanzania. Alikiba, Vanessa Mdee, Jux, Weusi, Aslay, Ben Po, Fid Q, Mr Blue, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko na wengine wengi walitumbuiza kwenye tamasha hilo, Tazama show zao, Mwandishi: sadock kutoka TEAMTZ

Read More

Moto wa Rich Mavoko, Ya Moto Band, Mr Blue na Nyandu Tozi FIESTA DSM (+Video)

November 25, 2017 historia nyingine imeandikwa kwenye muziki wa Bongofleva nchini Tanazania kupitia Tamasha la FIESTA 2017 ambapo baada ya kuzunguka mikoani Usiku wa November 25 ilikuwa ni zamu ya watu wa Dar es Salaam. Rich Mavoko, Ya Moto Band, Nyandu Tozi pamoja na Mr Blue ni miongoni mwa wasanii walioandika historia usiku wa huo […] Mwandishi: Lonny TZA kutoka millardayo.com

Read More

Rich Mavoko: Nafurahia maisha yangu WCB, aahidi ujio wa collabo za Kimataifa

Msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ameelezea mafanikio yake tangu alipojiunga na Label ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz huku akifunguka kuwa anafurahia maisha yake kwenye label hiyo aliyojiunga miezi tisa iliyopita. “Kusema kweli maisha ni mazuri sana, tunaishi kwa upendo, tunashirikiana, ni sehemu ambayo unaweza ukakaa na kufanya muziki nzuri kwa sababu watu ambao wanakuzunguka ni wasanii hata mabosi wetu, Sallam na Tale ni watu ambao wako kwenye huu muziki wa muda mrefu,” Rich Mavoko aliuambia mtandao wa Bongo5. Amefunguka kuwa ameona mafanikio hasa kwenye soko la kimataifa huku…

Read More