You are here
TAARIFA 

TAARIFA YA KIFO CHA HAPPY OKOTH WA DALLAS,TEXAS.

Ndugu Wanajumuiya,  Kwa masikitiko makubwa Dr. Lindah Mhando wa State College, PA anatangaza kifo cha mdogo wake HAPPY OKOTH kilichotokea Dallas, TX. October 27, 2017. Marehemu ameacha : Mama yake Mrs Elizabeth Okoth Mume wake: Pastor Steven Momoh Watoto watatu: Gideon, Desire Na Delight.  Kaka: Mike Wilfred Dada: Dr. Lindah Mhando  Mdogo: Lilian Wilfred Mipango y’a mazishi ina endelea kufanyika. Na marehemu anatarijiwa kuzikwa Dallas Texas  Tarehe: 10 ( wake keeping) 11 mazishi na tarehe 12. Ibada ya shukran  Taarifa zaidi zitafuata baadaye. Tafadhali wasiliana na: Pastor Steven Momoh 214…

Read More
TAARIFA 

UNDANI KUHUSU SHEREHE ZA HALLOWEEN KILA IFIKAPO OKTOBA 31

Na Jumia Travel Tanzania Inawezekana utakuwa umesikia watu au kusoma kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sherehe za Halloween lakini ukawa hauelewi. Mbali na hapo inawezekana pia umekutana na matangazo kadhaa yakikutana kushiriki kwenye sherehe za sikukuu hiyo sehemu kadhaa za starehe hususani vilabu vya usiku hapa nchini. Kutokana na utandawazi uliosababisha dunia kuwa kijiji tumejikuta kwa namna moja ama nyingine tukishiriki matukio mbalimbali kwa wakati mmoja. Baadhi ya matukio hayo huwa hatuelewi maana yake kwa undani zaidi. Kwa mfano, Halloween kwa namna inavyosherehekewa ni kama ina uhusiano na sherehe za…

Read More