You are here

Orodha ya Forbes ya waigizaji wa kike wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi 2017

Sofia Vergara amekuwa staa wa filamu ambaye amelipwa fedha nyingi zaidi kuanzia Juni mwaka jana mpaka kufikia mwezi Juni mwaka huu. Kwa mujibu wa jarida la Forbes limesema, Sofia ameingiza kiasi cha dola milioni 41.5 milioni ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 91 kwa fedha za kitanzania. Huu ni mwaka wa sita mfululizo muigizaji huyo anaongoza katika orodha hiyo. Fedha hiz zinatokana na malipo ya uigizaji, dili za matangazo, biashara binafsi na mambo mengine. Naye mrembo Priyanka Chopra kutoka nchini India anashika nafasi ya nane katika orodha hiyo akiwa ameingiza…

Read More

Orodha ya Forbes ya wasanii wa Hip-Hop walioingiza mkwanja mrefu zaidi 2017 ‘Highest-Paid Hip-Hop Artist’

Jarida la Forbes limetoa list ya wasanii wa HIPHOP walioingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka 2017 ‘Highest-Paid Hip-Hop Artist’ pesa hizo ni walizoingiza kuanzia mwezi agosti 2016 hadi agosti 2017. Sean ‘Diddy’ Combs ameongoza orodha hiyo kwa kulipwa kiasi cha dola milioni 130 kwa miezi 12 iliyopita. Drake anafuata kwenye orodha hiyo akiwa amelipwa dola milioni 94. Wakati huo huo Jay Z ambaye orodha iliyopita alishika namba mbili ameporomoka mpaka katika nafasi ya tatu akiwa amelipwa dola milioni 42 kwa mwaka huu. Hii ni orodha ya mastaa 10 walioongoza kulipwa zaidi. 1. Diddy…

Read More

Rais Magufuli ameagiza kujengwa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani

Rais wa Tanzania John Magufuli ameliagiza Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kujenga ukuta wa kuzunguka vitalu vya kuanzia A hadi D vyenye madini ya Tanzanite katika eneo la Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara ili kudhibiti uchimbaji na biashara ya madini hayo. Rais Magufuli alitoa agizo hilo kwenye sherehe ya ufunguzi wa barabara ya Kia – Mererani iliyofanyika katika eneo la Mererani. Rais Magufuli amesema pamoja na kujenga ukuta huo haraka iwezekanavyo, soko la Tanzanite litapaswa kuwa katika eneo hilo, Tanzanite yote itapita kupitia lango moja na ameitaka…

Read More

Mkubwa Fella – Alikiba ni mwanangu wa dhahabu

Meneja Mkubwa Fella ambaye pia ni mingoni mwa wale wanaomsimamia Diamond Platnumz amesema hilo haliwezi kumzuia kufanya kazi na Alikiba. Kutokana na ukaribu wake na Diamond mashabiki wengi wamekuwa wakidhani kuwa yeye ni team Diamond, hata hivyo ameeleza katika kazi hakuna utimu. “Kwanza ukae ukijua sijawahi kusema sifanyi kazi na mtu yeyote, Alikiba mimi ni mwanangu wa dhahabu, ni mwanangu wa gold wala wala usiseme kuna hiki na hiki japokuwa wanasema chawa, basi chawa waje vizuri kwa sababu mimi ndiye meneja wa kwanza katika muziki huu sina pingamizi kusema nitafanya…

Read More