You are here
Uncategorized 

Mashirika ya UN yasaidia mradi wa dunia wa xprize kwenye teknolojia ya elimu nchini

Katika sherehe zilizofanyika katika kijiji kimoja huko mkoani Tanga, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) yaligawa tableti zilizowekewa mfumo wa elimu kwa watoto. Tableti hizo ziligawiwa kama sehemu ya mradi wa majaribio wa miezi 15 chini ya Global Learning XPRIZE, ambao ni mradi wa miaka mitano uliotokana na mashindano duniani yenye thamani ya Dola za Marekani milioni 15. Mradi huu wa dunia unatoa changamoto kwa timu za wabunifu kubuni na kuandaa zana-wazi za…

Read More