You are here

WATCH: Facebook yaanza kutoa huduma mpya ya video

Facebook yaanza kutoa huduma mpya ya video. Mtandao huo namba moja wa kijamii duniani unatarajia kuanza kutoa huduma ya video itakayokuwa ikiitwa ”Watch” ama tazama. Teknolojia hiyo imebuniwa ili kushindana na televisheni za kawaida pamoja na mitandao ya Youtube, Netflix na Twitter (kupitia huduma zao za LIVE). Facebook yaanza kutoa huduma mpya ya video: Kupitia […] The post WATCH: Facebook yaanza kutoa huduma mpya ya video appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania. Mwandishi: Siyan kutoka TeknoKona Teknolojia Tanzania

Read More

Samsung: Ukiwa na monitor hii uchezaji magemu utakuwa muruwa zaidi

Samsung wapo kazini kuja na aina ya monitor iliyo pana zaidi na yenye lengo la kuondoa ulazima wa watu kutumia mfumo wa kuunganisha monitor mbili au zaidi. Utumiaji wa kompyuta unaohusisha uhitaji wa kuunganisha monitor zaidi ya moja ni maarufu zaidi kwa wacheza magemu, maofisini. Monitor hii inaupana wa inchi 49 na inakuja kwa kiwango […] The post Samsung: Ukiwa na monitor hii uchezaji magemu utakuwa muruwa zaidi appeared first on TeknoKona. Mwandishi: Mhariri Mkuu kutoka TeknoKona

Read More

Jinsi ya kuwa na akaunti ya kibiashara ya Youtube #Maujanja

Youtube ni mtandao ambao kila leo unazidi kuwa maarufu na kuzidi kuwa na mashabiki wengi. Tumeona watu mbalimbali wakiwa na chaneli zao binafsi huku wakiwa na uwezo wa kuweka video kwenye Youtube na watu kuangalia video kupitia wao. Je, unajua waliwezaje kufanikisha hilo? Mtu yeyote anaweza kuwa na Youtube chaneli yake binafsi hivyo kuweza kuweka […] The post Jinsi ya kuwa na akaunti ya kibiashara ya Youtube #Maujanja appeared first on TeknoKona. Mwandishi: Mato Eric kutoka TeknoKona

Read More