You are here

Video: Rama Dee amaliza tofauti zake na Clouds FM, awaomba msamaha mashabiki

Mkali wa R&B, Rama Dee hatimaye amaliza tofauti zake na kituo cha radio cha Clouds FM. Kupitia kipindi cha XXL, Rama Dee ameomba radhi kwa yote yaliyotokea kipindi cha nyuma na kueleza kuwa ni muda wa kufanya muziki mzuri. “Mimi nasema kwa mashabiki wangu wote wa Clouds Fm na kote wanakonisikiliza, sasa hivi ni muda wa sisi kukaa sehemu moja. Kwa hiyo, kwa chochote ambacho kimetokea kwa Rama Dee ambacho kilionekana si sahihi, naweza kusema I m sorry” Rama Dee alifunguka. “Na kwa Clouds Fm kwa wao wenyewe wanaona kwamba kuna…

Read More

New video-Kutoka kwa Lidy Mgaya-Tuilinde Amani Yetu

    Isifike muda tukashindwa hata kuzikana , leo sina mboga nikaogopa hata kukuomba  Maneno na uchochezi siyo silaha yetu , amani na upendo ndiyo sifa yetu… Hii ni baadhi ya mistari yanayo patikana katika wimbo huu kwenye ubeti wa pili katika wimbo wa Tuilinde amani yetu kutoka kwa Lidya mgaya kujua ubeti wa kwanza kaongelea nini itazame hii video hapa chini  Mwandishi: sancho song kutoka TEAMTZ

Read More