You are here
Videos wizkid 

New VIDEO: Wizkid – MANYA

New VIDEO: Wizkid – MANYA Starboy Wizkid and Mut4y of LegenduryBeatz drop the visuals to the fast rising smash “Manya” which is a first solo project for Mut4y as a DJ/Producer. The video was shot and directed by Director Q at the popular New Afrikan Shrine with many special guest appearances, the song was Produced by Killertunes 117 total views, 117 views today The post New VIDEO: Wizkid – MANYA appeared first on The Choice. Mwandishi: choicetz kutoka The Choice

Read More
Download Music Tekno wizkid 

New AUDIO: Tekno & Wizkid – Mama

New AUDIO: Tekno & Wizkid – Mama Perennial hitmakers, Tekno and Wizkid join forces on this brand new single titled “MAMA“. The Spotless-produced track is an Afrobeat tune with inspirational lyrics which loads of people can relate with. Both acts came from relative obscurity and worked their way up to stardom, and it’s reflected perfectly on this piece.   Listen to Tekno x Wizkid – Mama byTheChoice Tanzania on hearthis.at   368 total views, 368 views today The post New AUDIO: Tekno & Wizkid – Mama appeared first on The Choice. Mwandishi: choicetz kutoka The Choice

Read More

Wizkid aelezea sababu za kwanini Drake hajatokea kwenye video yake ya “Come Closer”

Mbali ya Wizkid na Drake kushirikiana kwenye ngoma tatu zilizofanikiwa ikiwemo “One Dance” iliyoongoza chart zote kubwa duniani, Hawajawahi kukutana uso kwa uso. Mijadala mikubwa imeibuka baada ya Wizkid kuachia video ya ngoma yake mpya “Come Closer” huku rapper wa Canada ambaye ameshirikishwa kwenye ngoma hiyo hajatokea, watu wamehoji huku wengine wakidai kuwa Drake ameamua kupuuzia tu, Wizkid ameamua kujibu sababu ya kwanini Drake hajaonekana kwenye video yake ambapo amesema kuwa wakati anashoot video hiyo Drake alikuwa kwenye Tour yake ya muziki, “Had a family emergency during one dance shoot and…

Read More

Sony Music yasema mwaka 2017 itampa kipaombele zaidi Wizkid

Mwaka 2017 ni mwaka wa Wizkid kwa mujibu wa label ya muziki ya Sony Music, Lable hiyo kubwa imeahidi kumpa kipaombele zaidi staa huyo wa Nigeria. Mkali wa muziki nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim ‘Wizkid’, adaiwa kuwa ndani ya mwaka huu project zake nyingi zitapewa backup kubwa sana na lebo ya kimataifa Sony Music, na kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa, Sony Music imetangaza kuwa kwa mwaka huu Starboy Wizzy ni kipaumbele chao cha kwanza kuhakikisha kuwa staa huyo anafikia malengo yake ya kuwa a Super International star. Sony Music kupitia wakurugenzi…

Read More

Rekodi nyingine Drake na Wizkid wameivunja kwenye mtandao wa Spotify

Baada ya mastaa Drake na Wizkid kukutana kwa mara ya pili kwenye collabo ya “One Dance” single hii imeendelea kufanya maajabu kwenye charts kubwa za muziki duniani. Mzigo ukiwa unapatikana kwenye albam ya Darke “Views” umekuwa wimbo wa kwanza kwenye mtandao wa kuuza nyimbo wa Spotify kusikilizwa zaidi ya mara billioni moja kwa mujibu wa Billboard. Hiki ni kitu kingine […] The post Rekodi nyingine Drake na Wizkid wameivunja kwenye mtandao wa Spotify appeared first on millardayo.com. David King TZA – millardayo.com Tembelea Chanzo

Read More