Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi awataka vijana kuwatunza wazee

Vijana nchini wameshauriwa  kujitolea na kuwatunza wazee katika maeneo yao ili kupata ushauri na busara za wazee hao kwa maendeleo yao na taifa. Hayo yamesemwa Mjini Dodoma na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Alhaji Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akizungumza na wazee katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yanayofanyika kila Oktoba Mosi ya kila mwaka. Mhe. Mwinyi amesema kuwa jukumu la kuwatunza na kuwalea wazee sio la Serikali pekee bali jamii  pia ina nafasi yake katika kuwatunza wazee hasa Vijana. Mhe. Mwinyi ameongeza kuwa Serikali imejitaidi…

Read More

Wanachama wa ushirika wa Aminika Gold mine watakiwa kushirikiana

Wananchi wa ushirika wa Aminika Gold mine co-operative society Ltd wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida wameshauriwa kuacha tabia ya kuwa kama kikundi cha  wanywa kahawa na badala yake washikamane pamoja kwa lengo la kuimarisha ushirika wao, uweze kuwa na tija. Wito huo umetolewa juzi  na mkuu wa wilaya ya Ikungi,Miraji Mtaturu, wakati akifungua mkutano wa uchunguzi  bodi ya wakurungezi  ushirika wa Aminika. Alisema ushirika wa Aminika ambao una muunganiko  wa vikundi vitano, na wanachama wake ni pamoja na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Singida Halima Kasungu , waandishi wa habari na viongozi…

Read More

UKWELI KUHUSU NGUVA: Ni SAMAKI au BINADAMU? Je, analiwa?

Nadhani utakuwa mmoja wa watu wanaojiuliza au waliojiuliza siku nyingi kuhusu kiumbe NGUVA, je, ni SAMAKI au BINADAMU? Je, anafaa kwa kitoweo. Kwenye video hii hapa chini, Ayo TV na millardayo.com zinaye kwenye EXCLUSIVE interview Zephania Arnold ambaye anajibu maswali yote na kutulezea kila kitu kuhusu NGUVA KASA! Kiumbe anayeweza kusababisha kifo kwa Mlaji Mwandishi: Makoleko TZA kutoka millardayo.com

Read More